Baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001, taswira ya Waislamu katika ulimwengu wa Magharibi iliharibika na kuanza kuhusishwa wote na ukatili, lakini sasa picha imaenza kubadilika na ufahamu mpya kujengwa.
Matangazo
Oummilkher Hamidou anachambua namna ambavyo jamii za Kimagharibi zinavyoanza kuuchukulia Uislamu katika sura tafauti na ilivyokuwa hapo zamani, huku Waislamu wa Yugoslavia wakiwa kigezo.