1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI :Washukiwa 10 wa ujamabzi wauwawa

5 Julai 2007

Takriban watu 10 wameuwawa katika mji mkuu wa Nairobi nchini Kenya kufuatia msako mkali wa polisi wa kuwasaka wafuasi wa kundi hatari linalodaiwa kuhusika na mauaji ya watu katika maeneo kadhaa nchini humo.

Watu hao 10 washukiwa wa ujamabazi waliuwawa usiku wa kaumkia leo na silaha kadhaa zimekamatwa na polisi.

Polisi bado wanafanya uchunguzi iwapo watu hao wana uhusiano na kundi haramu la Mungiki.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW