JamiiNamna ya kuwaepusha wasichana na mbimba za utotoni04:53This browser does not support the video element.Jamii24.09.202124 Septemba 2021Katika kukabiliana na mimba za utotoni kwa kundi la wasichana wapo miongoni mwao ambao wameamua kujiingiza katika matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Lakini jamii zao zinawatazamaje? niwakati wa kutazama hili kama jambo la kawaida. Nakili kiunganishiMatangazo