AfyaNani haruhusiwi kufanya hijama ?03:34This browser does not support the video element.Afya31.05.202131 Mei 2021Kulingana na wataalamu wa afya, makundi fulani ya watu hayaruhusiwi kufanya hijama kama wagonjwa wa saratani, wagonjwa walio na maradhi ya moyo, viwango vya chini vya sukari katika damu, wanawake wanapokuwa katika hedhi zao na kadhalika.Nakili kiunganishiMatangazo