Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi?Elizabeth Shoo02.12.20152 Desemba 2015Wakati viongozi wa dunia wakijadiliana kwenye mkutano wa tabia ya nchi huko Paris, swali la gharama laonekana kuwa tete. Kipindi cha Mtu na Mazingira kinauangazia mvutano uliopo kati ya mataifa tofauti.Nakili kiunganishiPicha: AFP/Getty Images/H. HamdaniMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.