1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani mkali kati ya Shelly-Ann na Richardson?

21 Agosti 2023

Kunatarajiwa kinyang'anyiro kikali katika fainali ya mbio za mita 100 upande wa wanawake usiku wa Jumatatu.

Mashindano ya dunia ya Riadha 2022 mjini Eugene | Shelly-Ann Fraser-Pryce
Shelly-Ann Frayser Pryce wa JamaicaPicha: Lucy Nicholson/REUTERS

Shelly-Ann FRASER PRYCE wa Jamaica atakuwa anapambana na Sha'Carri Richardson wa Marekani, iwapo lakini wote wawili watafuzu kwenye hiyo fainali.

Nusu fainali zitakuwa zinafanyika jioni ya Jumatatu pia.

Nyota wa Marekani Sha'Carri RichardsonPicha: Dylan Stewart/Newscom/picture alliance

Hapo Jumanne kutakuwa na fainali ya mbio za mita 1500 kwa wanawake ambapo Faith Kipyegon anayeshikilia rekodi ya dunia atakuwa anapambana kulitetea taji lakeambapo kunatarajiwa mapambano mkali na Muholanzi Sifan Hassan.

Chanzo: DPAE/APE/Reuters

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW