JamiiAfrikaNarcolepsy ni ugonjwa unaosababisha kulala sana03:27This browser does not support the video element.JamiiAfrikaFathiya Omar18.11.202418 Novemba 2024Narcolepsy ni ugonjwa wa muda mrefu wa mfumo wa neva unaoathiri uwezo wa mtu kudhibiti mzunguko wa kulala na kuamka. Kwa kina cha ugonjwa huu unaosababisha usingizi kupita kiasi tazama vidio iliyoandaliwa na Fathiya Omar wa Mombasa.Nakili kiunganishiMatangazo