1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NATO ICHUKUWE JUKUMU ZAIDI IRAQ:

5 Desemba 2003

BRUSSELS: Waziri wa kigeni wa Marekani Colin Powell ametoa muito kwa wanachama wa Ulaya katika Shirika la Kujihami NATO,kuzingatia kushika jukumu zaidi katika ujenzi wa Iraq.Baada ya kushauriana na washirika wenzake wa NATO mjini Brussels,waziri Powell amesema uwezekano mmoja ni kuvipokea vikosi vya Poland vilivyokuwepo eneo la kati la Iraq.Kwa upande mwingine waziri wa kigeni wa Ujerumani Joschka Fischer ameusisitiza tena msimamo wa serikali ya Berlin.Ujerumani inaunga mkono misaada ya kiutu na kazi za kuijenga upya Iraq,lakini haitopeleka vikosi vyake nchini Iraq.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW