1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NATO kujadili matumizi katika sekta ya ulinzi

3 Januari 2023

Nchi za jumuia ya kujihami NATO zitafanya majadiliano juu ya malengo ya matumizi yao katika sekta ya ulinzi.

Das Logo des NATO-Kommandos JSEC steht vor Flaggen
Picha: Stefan Puchner/dpa/picture alliance

Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema baadhi ya wanachama wanaunga mkono hoja ya kubadili kiwango cha sasa cha asilimia 2 kiwe cha chini zaidi bila kusema ni nchi gani ambazo zimependekeza hoja hiyo.

Afisa huyo wa ngazi za juu wa NATO amesema anatazamia kufikia makubaliano kabla ya mkutano ujao utakaofanyika katika mji mkuu wa Lithuania Vilnius mwezi Julai

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW