Jumuiya ya Kujihami ya NATO iliundwa mwaka 1949, kama muungano wa kiusalama. Muungano huu unaundwa na mataifa wanachama 32 kutoka Ulaya na Amerika ya Kaskazini. Lakini, unajua nini zaidi kuhusu muungano huu?
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.