JamiiNdondi kuwasaidia wasichana kujilinda Afrika Kusini01:24This browser does not support the video element.JamiiSylvia Mwehozi04.06.20194 Juni 2019Thembisa Ngamlana alinusurika shambulio la uchomaji kisu wakati akiwa na miaka 20. Ilimtisha lakini pia kumpa hamasa ya kuhakikisha wasichana wadogo wanaweza kujikinga dhidi ya unyanyasaji kijinsia. Vijana MubasharaNakili kiunganishiMatangazo