1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndoto za Olimpiki kwa wanariadha wa Uganda

03:05

This browser does not support the video element.

3 Julai 2015

Moses Asonya alianzisha chuo cha mafunzo ya riadha cha Entebbe

Uganda kwa muda mrefu haijapata mafanikio katika mbio fupi, hali iliyomfanya mwanariadha wa zamani Moses Asonya kuanzisha chuo cha mafunzo ya riadha cha Entebbe ili kuwapa mafunzo wanariadha chipukizi kwa lengo la kushinda medali katika mashindano ya kimataifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW