1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shilingi bilioni 41 zatumika hadi sasa

Sudi Mnette25 Septemba 2015

Maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania yanazidi kuimarika, huku Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ikiwa kwenye mchakato wa kupeleka vifaa vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Picha: AP

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mpaka wakati huu vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 41.6 vimepelekwa katika maeneo ya vituo vya kupigia kura. Sikiliza mazungumzo yake na Sudi Mnette kwa kubonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Iddi Ssessanga

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW