1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Neema Athuman: Muigizaji mdogo wa Tanzania

05:11

This browser does not support the video element.

21 Juni 2024

Neema Athuman ni muigizaji chipukizi kutoka Tanzania. Msichana huyu mdogo amekuwa akiacha maswali mengi ya kuibua mijadala kutokana na uwezo wake.