1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK: Jopo kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu

2 Septemba 2006

Umoja wa Mataifa umeteua jopo la watu watatu kuchunguza madai kuwa Israel ilikiuka haki za binadamu wakati wa mapigano yake dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon.Tume hiyo ilitajwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na imepewa mamlaka ya kuchunguza kile kilichoitwa, ”kulenga na kuwaua kwa mpango” raia wa Lebanon.Jopo hilo pia litachunguza silaha za aina gani zilitumiwa na Israel na ikiwa zinaambatana na sheria ya kimataifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW