1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK: Juhudi za kuleta amani Darfur

22 Septemba 2007

Mawaziri wa nje kutoka nchi 26 wametoa mwito kwa Sudan,kuunga mkono kikamilifu ujumbe wa amani unaotazamiwa kupelekwa jimbo la mgogoro la Darfur,magharibi ya Sudan.Mawaziri hao wamesema, ni muhimu kuwa na ushirikiano kamili wa serikali ya Khartoum.Suala la utata ni muundo wa vikosi vya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika, vinavyotazamiwa kupelekwa Darfur.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW