1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK: Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa mwenye kuhusika na ...

16 Januari 2004
Afghanistan, Lakhdar Brahimi, amekuwa mshauri mpya wa Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu Kofi Annan amemteua mwanabalozi huyo wa miaka 70 kama ni mshauri wa masuala moto-moto kuhusu Amani na Usalama. Miongoni mwa mambo mengine, Brahimi atakuwa na wajibu wa Irak. Zamani akiwa waziri wa kigeni wa Algeria, Brahimi ni mmojawapo wa maafisa wa kibalozi wenye kusifika katika Umoja wa Mataifa.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW