1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK:Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kwa kauli ...

20 Novemba 2003
moja kushikamana na mpango wa kimataifa wa amani ukihusika na Mashariki ya Kati. Baraza liliitaka Israel na Wapalastina kupita katika mkondo dhahiri kuelekea kwenye amani. Pande hasimu zinapaswa haraka kusimamisha vitendo vya maguvu, na uchochezi,- linasema tangazo la Baraza la Usalama. Mpango unaojulikana wa amani , miongoni mwa mambo mengineyo, unatazamia kuundwa dola ya wapalastina hadi ufikapo mwaka 2005. Makamu wa waziri mkuu wa Israel Ehud Olmert alitangaza mjini Jerusalem kuwa nchi yake haijalazimika kutekeleza vitendoni azimio hilo.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW