Ngano za Afrika – Kipindi 08 – Bundi na Nyenje16.03.201116 Machi 2011Siku moja bundi mzee na nyenje kijana wanakuwa majirani. Mwanzoni wanafurahia kuishi kwa pamoja, lakini kadri muda unavyopita bundi anakasirika na nyenje anavunjika moyo. Watafanya nini?Nakili kiunganishiMatangazo