Ngano za Afrika – Kipindi 09 – Mrembo kuliko wote16.03.201116 Machi 2011Hadithi yetu inatokea zamani za kale, wakati tausi alipokuwa angali mweupe. Jifunze jinsi alivyopata rangi zake nyingi na wakati huo huo kuiharibu sauti yakeNakili kiunganishiMatangazo