Miongoni mwa ngoma zinazopigwa kwenye shughuli mbalimbali za kijamii, hasa harusi, visiwani Zanzibar ni ile ya Kidumbaki, ambayo ni mchanganyiko wa ala za muziki na ngoma halisi za Kiafrika.
Matangazo
Salma Said anazungumzia ngoma ya Kidumbaki yenye asili ya visiwa vya Zanzibar, ikiwa ni mchanganyiko wenye asili za mataifa mbalimbali ndani yake.
Mtayarishaji/Msimulizi: Salma Said Mhariri: Othman Miraji