Bidhaa za kung’arisha kupita kiasi yaani bleaching katika Kiingereza zinaweza kuuzwa kihalali kati ya dola 2 na 10 katika maduka ya dawa au maduka ya jumla. Pia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, biashara ya bidhaa za kung’arisha ngozi imekuwa maarufu