1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni France ama Belgium kusonga mbele?

01:55

This browser does not support the video element.

1 Julai 2024

Tukizungumzia ushabiki basi uko hapa kati ya majirani Ubelgiji na Ufaransa. Na muda mfupi ujao wanakutana pale Dusseldorf Arena katika mechi ya mtoano ya michuano ya #Euro2024. Nani ni nani? Mbappe ama Lukaku? Nawe nipe utabiri wako.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio