JamiiNi miaka mitano baada ya kansela Merkel kuruhusu wakimbizi Ujerumani. Wanasemaje?03:06This browser does not support the video element.Jamii27.08.202027 Agosti 2020Miaka mitano iliyopita, Ujerumani ilitoa malazi kwa wakimbizi takriban milioni moja. Wengi miongoni mwao bado wanakumbuka nyumbani, lakini wanasema, hawatamani kurudi huko. Wasikilize baadhi yao. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo