1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NIGER :Watu wa Niger wasaidiwa kukabili njaa

26 Julai 2005

Ndege za Uingereza zikiwa na shehena za misaada ya dawa na chakula zimewasili nchini Niger.

Mamilioni ya watu nchini humo, wanakabiliwa na baa la njaa lililosababishwa na ukame na nzige.

Chama cha msalaba mwekundu cha Uingereza kitagawa chakula ,dawa na mahitaji mengine ya lazima kwa watu hao.

Hali nchini Niger ni mbaya kiasi kwamba maalfu ya watoto wanaweza kufa ikiwa hawatapatiwa misaada ya haraka.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW