1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nigeria yakamilisha kampeni za uchaguzi

01:22

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
15 Februari 2019

Wagombea urais Nigeria wamekamilisha kampeni zao wakingoja uchaguzi Febuari 16. Ni uchaguzi unaotarajiwa kuwa na mchuano mkali kati ya Rais Muhammadu Buhari na mpinzani wake Atiku Abubakar huku wananchi miloni 84 wakitarajiwa kupiga kura siku ya uchaguzi huo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW