Machi 20, ni Siku ya Kimataifa ya Furaha. Inaadhimishwa kutambua umuhimu wa furaha katika maisha ya watu duniani kote. Lakini watu wa Afrika wana furaha kiasi gani?
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.