1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Njaa, ukame ajenda zinazohitaji utashi wa kisiasa Kenya

03:01

This browser does not support the video element.

26 Julai 2022

Wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi, nukta ha yali mbaya ya ukame Kaskazini mwa Kenya imekuwa haijamulikwa vya kutosha hasa kwa vinara wawili wanaochuwanavikali kuwania nafasi ya urais Raila Odinga wa Azimio la Umoja One Kenya na mpinzani wake Willium Ruto wa Kenya Kwanza. Nini kitasukuma mbele ajenda ya ukame na njaa kutafutiwa suluhu?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW