1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Njia ya chini kwa chini ya Elb Tunnel

01:35

This browser does not support the video element.

Sylvia Mwehozi
28 Novemba 2019

Alter Elb Tunnel ni njia kongwe ya chini ya maji ambayo ilijengwa kuanzia mwaka 1907 na kumalizika mwaka 1911. Ni njia ya moja kwa moja inayounganisha kitongoji maarufu cha St. Pauli mjini Hamburg na kitongoji kingine cha Steinwerder ikikatisha katikati ya mto Elbe.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW