1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Nyota changa inayong'ara katika sanaa ya uigizaji Tanzania

03:33

This browser does not support the video element.

10 Novemba 2023

Katika umri wake mdogo amekuwa kivutio kwa watazamaji katika kile anachokifanya, hasa katika sanaa ya maigizo pale anapoulizwa swali na kuwa na majibu ya hapo kwa papo. Matarajio yake ni kuwa msanii mkubwa lakini pia watu wengine wanamtazama katika picha pana kutokana na talanta aliyonayo.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW