1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Obama: Hillary Clinton anafaa kuwa Rais

01:45

This browser does not support the video element.

28 Julai 2016

Barack Obama amesema Hillary Clinton ana vigezo vingi kuwa Rais, hata zaidi yake au Bill Clinton, Papa Francis ataka Poland ipokee wakimbizi zaidi, watu wapatao 44 wauliwa kwa bomu Syria, kiongozi wa upinzani DRC, Etienne Tshisekedi, arejea Kinshasa. Papo kwa Papo 28.07.2016