SiasaOdinga asisitiza ataapishwa rais26.01.201826 Januari 2018Wataalamu wa muungano mkuu wa upinzani NASA wameweka bayana kuwa wanazo hati zinazothibitisha kuwa Raila Odinga ndiye aliyepata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka uliopita, uliompa ushindi Kenyatta.Nakili kiunganishiIchaguwe DW kwenye GooglePicha: Reuters/J. OkangaMatangazoJ3 26.01 Nairobi: Raila still insists on being sworn in- neu - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.