Ofisi za Ubalozi wa Ubelgiji zafungwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo03.06.20083 Juni 2008Ofisi za ubalozi wa Ubelgiji nchini DRC zimefungwa kwenye miji ya Lubumbashi na Bukavu.Nakili kiunganishiMatangazoHatua hiyo inafuatia kuzorota kwa uhusiano baina ya nchi mbili hizo. Kongo imelaumu uingiliaji kati wa maswala yake ya ndani na viongozi wa Ubelgiji. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo