Asili na mazingiraKenyaOgiek wanapigania kurejea msituni Mau01:29This browser does not support the video element.Asili na mazingiraKenyaDaniel Muteti25.08.202525 Agosti 2025Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka.Nakili kiunganishiMatangazo