JamiiAfrikaOmweso, mchezo wa bao unaosahaulika Uganda03:38This browser does not support the video element.JamiiAfrikaMohammed Khelef21.06.202121 Juni 2021Licha ya mchezo wa bao kwa jina Omweso kuwa mashuhuri miongoni mwa watu wa makamo nchini Uganda, lakini haufahamiki sana na vijana wa kisasa. Ibrahim Shoaib anauangalia utamaduni huu wa aina yake unaopotea kwa kasi. Kurunzi 21.06.2021.Nakili kiunganishiMatangazo