1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la maji Ziwa Turkana lawaongezea wakaazi dhiki

03:44

This browser does not support the video element.

23 Agosti 2022

Kufuatia ongezeko la maji katika ziwa Turkana nchini Kenya, jamii ndogo ya El-Molo wanaoishi kisiwani, wamelazimika kuyahama makaazi yao na kuhamia maeneo ya juu. Watoto wao hukosa kufika shuleni kama kawaida kwa sababu barabara imefunikwa na maji. Ni miongoni tu mwa masaibu ambayo sasa wanapitia. #Kurunzi inamulika hayo ikiwa ni pamoja na ugumu wa kuanza ujenzi na maisha upya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW