1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiAfrika Kusini

Ongezeko la manabii wa uongo Afrika Kusini

05:46

This browser does not support the video element.

24 Mei 2023

Licha ya kuenea kwa ubakaji, ulaghai na mauaji, manabii wa uongo na makanisa yao ya miujiza yanaendelea kushamiri Afrika Kusini. Kuanzia kuponya wagonjwa hadi kufufua wafu. DW inalitizama suala hili kwa kina na kuwahoji wachungaji na wahanga na kufichua baadhi ya wahalifu zaidi wa kingono wanaotumia makanisa na injili kulaghai waumini wao.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW