Ongezeko na gharama ya mifuko ya plastiki kwa mazingira
10 Julai 2014![Mfuko wa plastiki ukiwa chini ya bahari, ambako hfanya asilimia 90 ya uchafu unaokutikana huko.](https://static.dw.com/image/16153587_800.webp)
Matangazo
Katika makala hii ya Mtu na Mazingira, Anuary Mkama anaangazia ongezeko la uchafu wa mifuko ya plastiki duniani na gharama yake kwa mazingira na viumbe vyenye uhai, hasa samaki na wale wanaotegemea bahari kwa maisha yao ya kila siku.
Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Mohammed Khelef