Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewaasa vijana wa Kongo kupambana na rushwa, na kubeba hatma ya nchi yao mikononi mwao.Taifa hilo la Afrika ya Kati linakabiliwa na mizozo chungumzima licha ya utajiri wa maliasili.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.