1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Benedict xvi na Pasaka

21 Machi 2008

ROMA

Kiongozi wa dini ya kikatoliki duniani Papa Benedict wa 16 ataongoza maandamano ya njia ya msalaba katika uwanja wa mtakatifu Petro mjini Vatikan.

Sherehe ya mwaka huu inatarajiwa kutilia mkazo China.Hatua ya serikali ya China ya kuzima maanadamano ya Tibet imegubika mahusiano ya kibalozi kati ya Vatican na Beijing,ambao tayari umetiwa doa na mchango wa diniya Kikatolikikatika nchi ambayo ni ya kikomunisti.

China na Vatican hazijawa na uhusiano wa kibalozi kwa mda wa nusu karne sasa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW