1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Benedikt wa 16 ziarani Bavaria

9 Septemba 2006

München:

Kiongozi wa kanisa katoliki,Papa Benedikt wa 16anaanza ziara yake ya pili nchini Ujerumani hii leo.Mwaka mmoja baada ya kongamano la vijana wa kikatoliki mjini Cologne,safari hii Joseph Ratzinger anapanga kutembelea mahala alikozaliwa na kutumikia huko Bavaria.Rais wa shirikisho Horst Köhler na kansela Angela Merkel watamlaiki kiongozi huyo wa kanisa katoliki atakapowasili katika uwanja wa ndege wa München.Papa Benedikt wa 16 anafanya ziara ya siku sita katika jimbo alikozaliwa.Ataongoza misa tatu wakitarajiwa kuhudhuria waumini zaidi ya laki tano.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW