SiasaPapa Francis aongoza mazishi ya Papa Benedict 02:16This browser does not support the video element.Siasa05.01.20235 Januari 2023Kiongozi wa zamani wa kanisa katoliki Benedict wa XVI amezikwa hii leo katika Kanisa la Mtakatifu Petro. Kwa mujibu wa makadirio ya mamlaka za Kanisa Katoliki Duniani Vatican, takriban watu 50,000 wamehudhuria ibada hiyo ya mazishi.Nakili kiunganishiMatangazo