1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa Francis ziarani Myanmar

02:05

This browser does not support the video element.

Saumu Mwasimba
27 Novemba 2017

Suala la Warohingya limegubika ziara ya kiongozi huyo wa kanisa Katoliki itakayochukua siku sita ikimfikisha pia Bangladesh walikokimbilia Waislamu warohingya kutoka Myanmar wanakokandamizwa na jeshi.Na wakenya wasubiri kuapishwa Kenyatta kesho Jumanne.Maandalizi yakamilika