1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 08.08.2016

01:32

This browser does not support the video element.

8 Agosti 2016

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan aapa kuidhinisha sheria ya hukumu ya kifo baada ya mapinduzi yaliyofeli, waasi Syria wafanikiwa kuvunja mzingiro wa wiki tatu mjini Aleppo na chama cha KADU Asili nchini Kenya chawataka Wapwani kuungana kabla ya uchaguzi mkuu mwakani.