Papo kwa Papo 10.06.201601:43This browser does not support the video element.10.06.201610 Juni 2016Rais Obama amuunga mkono Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic. Ufaransa na Romania zafungua Dimba la soka la UEFA 2016 linaloandaliwa Ufaransa. Mkuu wa mashtaka Afrika Kusini ataka rais Zuma kuchunguzwa.Nakili kiunganishiMatangazo