Boris Johnson aliyeongoza kampeni ya Brexit ateuliwa kuwa waziri mpya wa mambo ya nje wa Uingereza. Maelfu wajitokeza katika mazishi ya polisi watano waliouawa Dallas Marekani. Na Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 300 wameuawa Sudan Kusini. Papo kwa Papo 14.07.2016