Papo kwa Papo 23.06.201601:40This browser does not support the video element.23.06.201623 Juni 2016Kura ya maoni yafanyika Uingereza. Wabunge wa chama cha Democratic nchini Marekani washinikiza kupitishwe sheria kudhibiti silaha. Shirika la Afya Ulimwenguni WHO kufanya kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya manjano nchini Kongo na Angola.Nakili kiunganishiMatangazo