1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS vijana wahamiaji kusaidiwa nchini Ufaransa

15 Novemba 2005

Ghasia zimeendelea kupungua nchini Ufaransa wakati bunge la nchi hiyo linatarajiwa kuzungumzia juu ya uwezekano wa kurefusha hali ya hatari nchini.

Wakati huo huo rais Jacques Chirac ametangaza mpango wa kuwasaidia vijana wanaoishi katika vitongoji vinavyokabiliwa na matatizo ya kijamii.

Chini ya mpango huo makundi ya hiari yatawasaidia vijana hao katika juhudi za kutafuta ajira.