1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS.Ufaransa yapinga wanachama zaidi kwenye Umoja wa Ulaya

27 Juni 2005

Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amepinga kuingizwa nchi nyingine yoyote zaidi ya Romania na Bulgaria kwenye Umoja wa Ulaya.

Romania na Bulgaria zimepangiwa kujiunga na Umoja huo mwaka 2007.

Sarokozy amesema Ufaransa inahitaji kufikiria tena juu ya suala la sera za Umoja huo baada ya Wafaransa kuikataa katiba mpya ya Umoja huo.

Katika mkutano na wanadiplosia wa Poland waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Jochka Fischer amesema Umoja wa Ulaya unapaswa kuendelea na mpango wake wa kuupanua Umoja huo licha ya kupoteza umaarufu wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW