1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiKenya

Paul Mackenzie apatikana na hatia ya mauaji ya wafuasi 191 Kenya

02:26

This browser does not support the video element.

20 Oktoba 2026

Mahakama Kuu mjini Mombasa imempata kiongozi wa kanisa la Good News International, Paul Mackenzie, pamoja na wenzake 2, na hatia ya mauaji ya watoto 190 na mtu mzima mmoja.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW